Chagua mchango unaogusa moyo wako na uchangie kwa dakika moja.
Changia Ujenzi wa Msikiti 🕌🤲 Shiriki katika kujenga nyumba ya Mwenyezi Mungu. Kila mchango wako, mkubwa au mdogo, utakuwa sehemu ya kheri na thawabu inayoendelea. Changia leo na tusaidie kukamilisha ujenzi wa msikiti kwa ajili ya ibada, elimu na umoja wa jamii. Mwenyezi Mungu akubariki na akulipe kwa wema wako. Ameen.