Inavyofanya kazi

Nichangie hurahisisha ukusanyaji wa michango kwa Watanzania popote walipo — hatua nne tu.

1. Anzisha mchango

Jaza kichwa, maelezo, lengo la fedha na picha. Timu yetu huthibitisha ndani ya saa 24.

2. Shiriki link yako

Tuma link kwa WhatsApp, Instagram, SMS au kwenye kikundi cha familia na marafiki.

3. Pokea michango

Wachangiaji hulipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au HaloPesa kwa dakika moja.

4. Toa fedha

Omba malipo kupitia dashibodi yako na fedha hutumwa kwenye namba yako ya simu.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Anza leo

Dakika tatu tu na mchango wako utakuwa tayari kupokea msaada.

Anzisha mchango