Mchango WA Msikiti
Umeanzishwa na Asmin ยท 06 Aug 2026
Changia Ujenzi wa Msikiti ๐๐คฒ
Shiriki katika kujenga nyumba ya Mwenyezi Mungu. Kila mchango wako, mkubwa au mdogo, utakuwa sehemu ya kheri na thawabu inayoendelea.
Changia leo na tusaidie kukamilisha ujenzi wa msikiti kwa ajili ya ibada, elimu na umoja wa jamii.
Mwenyezi Mungu akubariki na akulipe kwa wema wako. Ameen.
Wachangiaji wa hivi karibuni
Jamila alum