Changisha fedha kwa urahisi, popote ulipo.
Harusi, matibabu, elimu, misiba na miradi ya jamii — kusanya michango kwa dakika chache na fedha zifike moja kwa moja kwenye simu yako.

TSh 2,500
Zimekusanywa kupitia Nichangie
6+
Michango imeanzishwa
4+
Wananchi wamechangia
Anzisha
Jaza taarifa za mchango wako kwa dakika 3.
Shiriki
Tuma link kwa WhatsApp, SMS au mitandao.
Pokea
Toa fedha moja kwa moja kwenda M-Pesa au benki.
Chagua aina ya mchango
Michango inayoendelea
Saidia ndoto za Watanzania wenzako leo.
Mchango wa harusi merina vitalis
Kwa ajiri ya kulipia ukumbi,chakula pamoja na vinywaji mc na mziki video shoting usafiri nk
Mchango WA Msikiti
Changia Ujenzi wa Msikiti 🕌🤲 Shiriki katika kujenga nyumba ya Mwenyezi Mungu. Kila mchango wako, mkubwa au mdogo, utakuwa sehemu ya kheri na thawabu inayoendelea. Changia leo na tusaidie kukamilisha ujenzi wa msikiti kwa ajili ya ibada, elimu na umoja wa jamii. Mwenyezi Mungu akubariki na akulipe kwa wema wako. Ameen.
Wanachosema waliotumia Nichangie
"Tulikusanya zaidi ya milioni 3 kwa siku mbili kwa ajili ya matibabu ya mama yangu."
"Link moja tu ya WhatsApp ilitosha. Marafiki walichangia bila kuhangaika na namba za simu."
"Fedha zilifika kwenye M-Pesa yangu haraka na kila mchango ulionekana wazi."
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Uko tayari kuanza?
Hakuna gharama za kuanzisha. Unalipia tu pale unapopokea michango.
Anzisha mchango bure