Mchango umethibitishwa
Mchango WA Mayatima
Umeanzishwa na Asmin · 06 Aug 2026
Changia Msaada kwa Mayatima 🤲❤️
Shiriki kuwapa matumaini na maisha bora watoto mayatima. Kila mchango wako utasaidia kuwapatia mahitaji muhimu na kuwafanya wajisikie kuwa wanathaminiwa na kupendwa.
Mchango wako, hata uwe mdogo, unaweza kubadilisha maisha ya mtoto mwenye uhitaji.
Changia leo na uwe sehemu ya kuwapa tabasamu na faraja mayatima.
Mwenyezi Mungu akubariki na akulipe kwa wema wako. Ameen.
Wachangiaji wa hivi karibuni
Jamila